MAELEZO YA PROFAILI

    Denis Kahana

  • Advocate
  • +255762246954 dkahana@lysonlaw.co.tz
  • Bw. Kahana ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na mtaalamu wa Sheria za Ajira na mahusiano  Kazini, Sheria Kuu ya Ushirika, sheria ya hati miliki, Alama ya Biashara na Sheria za Hakimiliki, Upatanishi na Usuluhishi pamoja na Madai ya Jinai na Ya Kiraia.

    Sifa:

    Diploma ya juu ya sheria ya vitendo, Shule ya Sheria Tanzania (LST), Shahada ya Sheria (L.L.B (Hons)) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Tanzania (SAUT), ni Wakili wa Mahakama Kuu na Mahakama za Chini za Tanzania.